Chapati for dinnerπ½: , mlo wa jioni inapendeza ukiwa unabadilisha vyakula kila siku, isiwe usiku kila siku ni wali tu, badilisha vyakula viazi, chapati, tambi, ndizi nk. Recipe Yangu ya chapati ni simple na ya uhakika, mtag pia rafiki yako anaye penda chapati; Chapati recipe π΄ Mahitaji ππΏ β ngano 1/2 kg β mafuta 1/4Continue reading “CHAPATI RECIPE”