JUICE YA UKWAJU MIX NA UBUYU

Juice ya ukwaju mix na ubuyu 🍹(tamarind baobab juice) kama hujawahi kunywa mchanganyiko wa juice hii basi uhondo una kupita. Ni juice(mix) tamu sana hasa ukila na nyama choma. . Mahitaji ukwaju nusu kilo ubuyu robo kilo asali vijiko vikubwa 5 maji ya moto lita Jinsi ya kutengeneza Baada ya kutoa vyote kwenye maganda yakeContinue reading “JUICE YA UKWAJU MIX NA UBUYU”

Create your own website, free on WordPress.com.Create your own website.
Start free