Supu ya kuku wa kienyeji 🍲;huwa ni nzuri sana, naipenda hatari. Hii niliipika siku za nyuma, huwa napenda kuipika weekend sababu na kuwa na muda wa kutosha. . 🍵 Kama unavyo jua Kuku wa kienyeji nyama yk iko konki hasa, hivyo inabidi kuipika kwa nafasi na taratibu. Baada ya kumwosha kuku nikimkata kata vipande vyaContinue reading “SUPU YA KUKU”