VIAZI VITAMU VYA KUKAANGA (sweet potatoes)

Viazi vitamu vya kukaanga, ni vizuri sana hasa Kwa chai. Mi napenda sana kuvila huku kukiwa na kachumbari pembeni. . 🍽 Niliosha viazi, Kisha nika menya na kuvikata ktk vipande vya wastani, Kisha nikaloweka viazi ktk maji ambayo nilitia chumvi kidogo. Baada ya Kama nusu saa nikavitoa, na kuweka kwenye chujio vichuje maji. Kisha ndioContinue reading “VIAZI VITAMU VYA KUKAANGA (sweet potatoes)”

Design a site like this with WordPress.com
Get started