CHAPATI MAJI RECIPE

CHAPATI MAJI; πŸ½β˜•οΈ nimezipika leo asubuhi Kwa ajili ya breakfast. Simple kupika, tamu inapendeza kila siku uweka vitafunwa tofauti tofauti wakati wa chai. . Ok, recipe ya chapati maji hii hapa . πŸ½β˜•οΈ πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ Mahitaji – ngano 300gramu, maziwa glass 1 ndogo, mayai 2, sukari kiasi vijiko vikubwa 2, maji glass 2, Mafuta vijiko 5Continue reading “CHAPATI MAJI RECIPE”

Design a site like this with WordPress.com
Get started