Juice ya limao na ndimu 🍹; ni nzuri sana na haina usumbufu kutengeneza. Ni nzuri hasa ukinywa wakati unakula nyama choma, na pia ni dawa ukiwa na mchafuko wa tumbo, kichefuchefu. 🍹🍹 Hii mi nilitengeneza weekend kwa ajili ya barbeque, vizuri kuitengeneza ukainywa hapo hapo ikiwa fresh kabisa. 🍹🍹 👇🏿 Jinsi ya kutengeneza (Kwa watuContinue reading “JUICE YA NDIMU NA LIMAO ( lime and lemon juice)”