MKATE WA UFUTA RECIPE

Mkate wa ufuta; umeshawahi kula au kuupika??! ni mkate mzuri sana kwa chai, pia ni simple sn kuupika hauna usumbufu. . Mimi napenda kuupika sababu inanisaidia kuweza kubadili vitafunio kwa ajili ya chai. . ☕️🍴🍴 Unaenda vizuri na tea masala, chai ya rangi, kahawa. Na unaweza kuongeza vitu vingine utakavyo penda wakati wa chai. MkateContinue reading “MKATE WA UFUTA RECIPE”

Create your own website, free on WordPress.com.Create your own website.
Start free