Omelette Burger 🍴, hii nimetengeneza leo mchana kwa ajili ya lunch ni nzuri sn girls wameipenda. Mkate wa burger nilinunua super market, Kwa hiyo nili tengeneza omellete, nilitumia mayai 4, karoti 2, kitunguu 1 na hoho 1. . 🍔 Nilivunja mayai na kuweka kwenye bakuli kubwa, Kisha nika katakata kitunguu, hoho na karoti vipande vidogoContinue reading “OMILETTE BURGER”