Cupcakes : hizi wamepika girls jana, zimetoka vizuri na tamu, wameshajua kubake cupcakes makosa ni madogo tu. Kitu wanacho jifunza sasa hivj ni jinsi ya kupamba cupcakes. . Hizi ni simple kutengeneza mtoto wa grade 1 unaweza anza kumfundisha, na inakuwa rahisi zaidi ukitumia hand mixer au hand whisker ya umeme. . 👇🏿 Simple CupcakeContinue reading “CUPCAKES RECIPE”