-Leo napenda nielekeze kitu kingine muhimu, jinsi ya kutengeneza meatballs.-Meatballs ni nyama ya kusaga iliyo tengenezwa ktk umbo la duara. Kama unavyoona kwenye picha Ni rahisi kutengeneza na ni nzuri sana kwa kula (ukizikaanga au rosti) na tambi, mashed potatoes au chipsi nk. Mahitaji-Nyama ya kusaga kilo 1-Breadcrumbs nusu kikombe-mayai 2 makubwa mabichi-Kitunguu saumu naContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA MEATBALLS”