-Spring rolls ni kitafunwa kizuri na mimi napenda sana kukitengeneza, maana kinaenda na kinywaji chochote kile moto au baridi.Spring rolls unatengeneza kwa kutumia manda kama zile tunazo tumia kwenywe sambusa, na ndani unaweka nyama ya kusaga au mbogamboga kisha unazifunga ktk shape ya cylinder kama unavyoona ktk picha halafu unazikaanga ktk mafuta. Hapa nitakuelekeza jinsiContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA SPRING ROLLS”