JINSI YA KUPIKA KISAMVU CHA NAZI

➡️Kisamvu cha nazi; nime kipika jana kwa ajili ya mlo wa jioni. Yani hii pia ni mojawapo ya mboga za majani nazo zipenda.

🍲
Nimekiosha kwanza, nika acha kichuje maji.

kisha nika chambua na kukitwanga nikatia na kitunguu saumu kidogo wakati wa kutwanga. Halafu nika kuchemsha.

Nikakichesha, kilipo karibia. Kuiva weka kitunguu na pilipil. Maji yalipo kaukia kabisa nikatia tui zito la nazi.

#karibuni

🍲

Kisamvu kitaliwa na wali pamoja na samaki

Design a site like this with WordPress.com
Get started