Hichi kinywaji ni kizuri sana, home red wine fruit sangria, pia ni simple kutengeneza. Mi sio mpenzi sn wa #alchoholicdrinks, Ila huwa na kunywa Mara chache vinywaji venye alcohol, lakini vinakuwa mix na fresh juice, fruits au soda. Kama ulikuwa unafikiria kinywaji gani utengeneze ku enjoy nyumbani, tengeneza hii red sangria.

red sangria recipe
Mahitaji
Chupa 1 ya #redwine
Glass 1 ya #orangejuice
Asali kijiko 1 kikubwa
Chungwa 1, #Apple 1, #strawberries kiasi pamoja, #raspberries na #blueberries .
[matunda mengine unayo weza kutumia, matunda damu, chenza]

Jinsi ya kuandaa
1.baada ya kuosha matunda yaache yachuje maji, kisha kata Apple na chungwa vipande vya wastani
⚡️
2.mimina wine kwenye jug, mimina na juice ya chungwa, kisha tia asali na mix Kidogo, Kisha tia matunda yote ktk jug
⚡️
3.liweke jug ktk fridge (walau masaa8 au ukiiacha ikaa ktk fridge usiku mzima ni nzuri zaidi) ipate baridi, na matunda na wine vichanganyike vizuri hapo itatoka ikiwa na ladha nzuri, ila ukitaka uinywe hapo hapo basi weka ice cube, na kinywaji chako #redwinesangria itakuwa tayari kwa kunywa.
