1. Ratiba ya chakula au mapishi, ni kitendea kazi muhimu kuwa nacho nyumbani kwako, sababu huwezi kupanga kupika bila kujua unataka upike nini?

2.Hivyo basi ukiwa na ratiba ya chakula inakusaidia usipoteze muda kuwaza na kuumiza kichwa upike nini? Maana tayari unayo ratiba ya chakula.

3.Itakusaidia kufanya manunuzi ya vyakula kirahisi, unaangalia ratiba itakuonyesha nini cha kupika, kisha unatengeneza shopping list yako, ukienda kufanya manunuzi unanunua kila kitu kwa pamoja.

4.Ratiba nimetengeneza Kwa kuangalia vitu vingi, kiasi kwamba inakupa nafasi ya kuweza kuiboresha kuongeza, kupunguza au kubadilisha vyakula unavyo taka ili uifanye iendane na hali yako halisi. Bajeti yako ikiwa kubwa au ndogo, vile vile unaweza itumia kama mwongozo kuandaa vyakula vya watoto pia.

5.Ratiba hizi za chakula Kwa wiki 4, yani mwezi mzima. Na ni milo yote 3 asubuhi, mchana na jioni. Na menu hazijirudii, so ukinunua ratiba kwangu ni unapata kitendea kazi chenye thamani sana kukuwezesha kufanya kazi ya mapishi jikoni kwako iwe rahisi no stress.

Na ratiba ya chakula/mapishi nimeziaandaa ili kazi ya mapishi na manunuzi ya chakula iwe rahisi. Ratiba Za chakula zipo zinapatikana katika soft copy Kwa Tsh 10000. – Para ratiba ya chakula kiganjani mwako na kazi ya mapishi itakuwa rahisi; wasaliana nami sasa Sms/Whatsap 0752 741 831 au 0657 234 897. eunicemahundi@yahoo.com