Kitchen sponge

Kitchen tipπŸ€—: Ok, leo ngoja niwape dondoo moja, kuhusu sponge za jikoni tunazo tumia kuoshea vyombo. Sponge zinatakiwa zitunzwe ktk mazingira mazuri ili zisibebe bacteria ambao wanaweza kuhatarisha afya zetu.


πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Malkia wa jiko
  • sponge baada ya kuitumia, ioshe ikamue ichuje maji na ianike juani au weka mahali pakavu ikauke kabla ya kuitumia tena.βœ…
  • usihifadhi sponge chini ya sink hasa ikiwa mbichi itavunda na kutoa harufu, na kukaribisha bacteria.βœ…
  • loweka sponge kwenye vinegar tia na chumvi kidogo, walau kila baada ya siku moja kama saa nzima, Kisha ianike ikauke itasaidia kuondoa bacteria. βœ…
  • tumia sponge kwa wiki mbili baada ya hapo itupe na utumie sponge mpya.βœ…
    πŸ‘“πŸ‘“
    Zingatia hilo kulinda afya yako na familia yako.
    .FollowπŸ‘‰πŸΏ @
Design a site like this with WordPress.com
Get started