
Homemade pizza
Ni rahisi kutengeneza, kwanza niitengeneza Ile (base) tuite chapati ya pizza, nimekanda ngano nikaweka hamira kidogo tu kwenye maji na kutia mafuta kwenye unga wakati nakanda, Kisha nikanda na kutengeneza chapati ya pizza Kisha nikaiweka pembeni. ⚡️
Nika chukua Kipande kidogo cha nyama na kuki kata kata ktk vipande vidogo vidogo kisha nika viweka kwenye frying pan na mafuta kidogo sn havikuiva kabisa.
Halafu nikaweka kwenye chapati ya pizza tomato paste kiasi, Kisha nikaweka nyama, na hoho na karoti, Kisha nikaoka kwenye oven (450F) km dk 15. #karibu