
Para ratiba ya chakula kiganjani mwako na kazi ya mapishi itakuwa rahisi;
Ratiba ya chakula au mapishi, ni kitendea kazi muhimu kuwa nacho nyumbani kwako, kwani inakusaidia usipoteze muda kukaa na kufikiria nini cha kupika au kula jioni.
-Ratiba pia ukiwa nayo itakusaidia kujua vitu vya kununua yani, unapo fanya manunuzi ya vyakula, unaangalia ratiba kisha unatengeneza shopping list yako, ukienda kufanya manunuzi unanunua kila kitu Kwa pamoja. . –
-Ratiba nimetengeneza Kwa kuangalia vitu vingi, kiasi kwamba inakupa nafasi ya kuweza kuiboresha kuongeza au kupunguza vyakula unavyo taka ili uifanye iendane na hali yako halisi.
Ratiba hizi Za chakula Kwa wiki 4, nimeziaandaa ili kurahisisha kazi ya mapishi. Pia nimeelezea kuhusu makundi ya vyakula ya kuzingatia unapo andaa mlo.
Ratiba Za chakula zipo zinapatikana katika soft copy Kwa Tsh 10000, nakutumia kwa email.
eunicemahundi@yahoo.com
Whatsap: 0752 741 831
.