Mishikaki ya kuku-

Mishikaki huwa naipenda sn na nyama choma kwa ujumla sijui nyie wenzangu? Iwe Kuku, mbuzi, mbuzi katoliki, ngo’mbe nk

πŸ—πŸŒΆπŸ’πŸ€πŸ΄πŸΊ Hiyo hapo juu ni mishikaki ya Kuku nilimchoma jana usiku, nilitumia nyama ile ya kidari cha Kuku.
.image
🍽🍹 Mishikaki nikianza kuiandaa asubuhi, baada ya kuosha nyama, nikakata vipande vya wastani nikaweka chumvi, limao, tangawizi, kitunguu saumu na rosemary nikachanganya nyama na viungo vizuri kisha nikaiweka kwenye fridge.
. Ili viungo vikolee vizuri.
🍟🍟 Usiku ndio nikaitoa nyama, nika weka kwenye
Vijiti kisha nikachoma kwenye oven, Kwa moto wa wastani Kama dk 90 hivi ikawa tayari. Nikaila pamoja na chipsi mayai na salad. #karibu
.
.
.
#cucumbersalad #tomatosalad #easycookingathome #instaprenuer #nyamachoma #foodcontent #brochettedwpoulet

Design a site like this with WordPress.com
Get started