WATERMELON SMOOTHIE (smoothie ya tikiti maji)

Watermelon smoothieπŸ‰πŸΉ; nimeweka mint tu, kinywaji kizuri kabisa kwa summer hii. Hii smoothie nilitengeneza j2 kwa ajili ya brunch.
.
πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰πŸ‰ Nimetumia watermelon nusu, yale makubwa kabisa. Nilikiweka kwenye fridge lipate baridi usiku mzima, ndio asubuhi nikalikata kata vipande vya wastani, nika blend hadi likawa smoothie, nikaweka kwenye glass na kuweka vijani vya mint, Bila kuongeza kitu kingine chochote kile. Ilikuwa very deliciousπŸ˜‹Β 

#tikitimaji #watermelon #smoothies

Design a site like this with WordPress.com
Get started