Mihogo ya kukaanga, (#friedcassava ) moja ya kitu nachopenda kula iwe asubuhi, mchana au jioni. Hii ilikuwa kitafunwa changu cha asubuhi na chai ya rangi, nilikosa chachandu tu.
. ☕️🍽 .

Nilimenya mihogo kisha nikaosha na kuikata kata vipande vidogo, nikailoweka kwenye maji ambayo niliweka chumvi kama nusu saa, kisha nika mwaga maji Na kuiweka kwenye chujio ichuje maji. Baada ya hapo nika ikaanga kwenye mafuta kwa moto wa wastani. . 🍴
.
Ni mihogo mizuri, mitamu ina unga na milaini. #karibuni .
.
.
.
#mihogo #cassava #cassavafries #malkiawajiko #mapishi #swahilifood #tanzanianfood #africanfoods #tanzanianblogger #cookinghome #simplecooking #homecookingrocks #wanawake #chakula