Viazi vitamu vya kukaanga, ni vizuri sana hasa Kwa chai. Mi napenda sana kuvila huku kukiwa na kachumbari pembeni.

.
🍽
Niliosha viazi, Kisha nika menya na kuvikata ktk vipande vya wastani, Kisha nikaloweka viazi ktk maji ambayo nilitia chumvi kidogo. Baada ya Kama nusu saa nikavitoa, na kuweka kwenye chujio vichuje maji. Kisha ndio nikavikaanga kwenye mafuta Kwa moto ambao haukuwa mkali sn.
.
🍽
Baada ya viazi kuiva nikavitoa kwenye mafuta na kuviacha and vipoe, kisha vikaliwa pamoja na kachumbari, na chai.
#karibuni
.
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.