Kuku chomaππ; ni wazuri wanafaa kuliwa na ugali, chipsi, ndizi choma, pilau nk.

ππππ
Baada ya kuosha mapaja ya Kuku, nikaweka ndimu, kitunguu saumu, tangawizi, na chumvi. Kisha nikaweka kwenye fridge usiku mzima ili viungo vikolee vizuri. Mchana wake ndio nika wachoma kwenye oven.
#karibuni
ππΏππΏ
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
.
ππΏ
Follow @timumafanikio @madada3boutique @malkiawajiko .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#chickenleg #chickenbarbeque #lemonchicken #nyamachoma
#malkiawajiko #swahilifood #tanzanianfood #mapishi #chakula #lunchtimeπ #malkiawajiko #jifunzemapishi #jikoni #homecookfood #simplecooking #quickandeasyfood #bonnapetit #simplelunch #cookingtimeπͺ #barbequechicken #kukuchoma