JUICE YA NDIMU NA LIMAO ( lime and lemon juice)

Juice ya limao na ndimu 🍹; ni nzuri sana na haina usumbufu kutengeneza. Ni nzuri hasa ukinywa wakati unakula nyama choma, na pia ni dawa ukiwa na mchafuko wa tumbo, kichefuchefu.
🍹🍹

Hii mi nilitengeneza weekend kwa ajili ya barbeque, vizuri kuitengeneza ukainywa hapo hapo ikiwa fresh kabisa.
🍹🍹
πŸ‘‡πŸΏ
Jinsi ya kutengeneza (Kwa watu 5)
🍹🍹
Nilitumia ndimu 5, limao 20, Niliosha ndimu na limao kisha nikazikata na kuzikamua kutumia lemon squeezer nilipo maliza kukamua ndimu na limao, nikaminina maji yake kwenye jug na kuweka sukari (kadiria kiasi unacho taka).
🍹🍹
.
Kisha chukua mason jar 5, kwenye kila jar nikaweka ice cubes, mint na vipande ya limao na ndimu kidogo ndani ya jar kidogo na juu . Kisha nikamimina juice na ikawa tayari kwa kunywa.
#karibu .
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
Kupata ratiba ya chakula ya mwezi mzima, ipo ktk soft copy tsh 10,000 Whatsap 0752 741 831.
.

Design a site like this with WordPress.com
Get started