JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA KUSUKUMA

➡️ Chapati za kusukuma; huwa napenda sana, ni tamua na hazina usumbufu wowote ktk kupika. Na uzuri chapati unaweza ukala wakati wowote iwe asubuhi, mchana au jioni. Hapa na -share recipe yangu ya chapati hope itawasaidia wengi; Chapati recipeMahitaji– ngano 1/2 kg– mafuta 1/4 L-chumvi kijiko kidogo 1– maji 400 m/l Jinsi ya kutengeneza WekaContinue reading “JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA KUSUKUMA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started