-Banana milkshake🍧🥛; ni kinywaji pendwa cha wanangu wanapenda kutengeneza hasa weekend. Ni kinywaji kizuri na rahisi kutengeneza. Hapa walitumia ;-ndizi 3-maziwa fresh nusu lita (yawe baridi)-ice cream (vikopo vidogo 3)-vanilla flavour kijiko 1 kikubwa-chocolate biscuits pakti 1 Weka kila kiti ktk blender, kasoro biscuits. Saga hadi mchanganyiko uwe laini, mimina ktk glass, vunjavunja biscuits naContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA BANANA MILKSHAKE”