➡️ Karibuni maandazi, hapa na share recipe yangu ya maandazi, ambayo itakusaidia uweze kutengeneza maandazi mazuriii kwa urahisi na kuepuka kero ya kutafuta vitafunwa au kula mikate kila siku 😀. ➡️Recipe ya maandazi hii hapa 👇🏿.Mahitaji Ngano kilo1, Mafuta lita 1, Sukari 200 gramu, Maji robo lita, Hamira vijiko 4 vidogo. Jinsi ya kutengeneza ➡️Continue reading “JINSI YA KUPIKA MAANDAZI”