Hope mko poa, leo napenda kushare recipe muhimu ya kitu nacho kipenda sana, supu ya kuku wa kienyeji. Kama una fatilia post zangu vizuri utakuwa umegundua huwa napenda kupika mapishi ambayo ni simple na yasiyo tumia muda mwingi. Kitu cha kwanza nacho zingatia kwenye maandalizi ya supu ya kuku wa kienyeji, ni kuchagua kuku ambayeContinue reading “JINSI YA KUPIKA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI”