ROSEMARY CHICKEN CHOMA

➡️ rosemary kuku choma; Huyu kuku nimemwekea viungo ila majani ya rosemary ndio kiungo kikuu. Jana usiku baada ya kumsafisha kuku na kumkata kata, nilimkata vipande 5. Mapaja 2, vidari 2 na kipande ni shingo iliyo unganika na mgongo. ➡️Nikaweka vipande vya kuku ktk beseni nika kataka kata majani ya rosemary vipande vidogo vidogo naContinue reading “ROSEMARY CHICKEN CHOMA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started