JINSI YA KUPIKA KISAMVU CHA NAZI

➡️Kisamvu cha nazi; nime kipika jana kwa ajili ya mlo wa jioni. Yani hii pia ni mojawapo ya mboga za majani nazo zipenda. 🍲Nimekiosha kwanza, nika acha kichuje maji. kisha nika chambua na kukitwanga nikatia na kitunguu saumu kidogo wakati wa kutwanga. Halafu nika kuchemsha. Nikakichesha, kilipo karibia. Kuiva weka kitunguu na pilipil. Maji yalipoContinue reading “JINSI YA KUPIKA KISAMVU CHA NAZI”

Design a site like this with WordPress.com
Get started