JINSI YA KUTENGENEZA PILIPILI YA EMBE

➡️Pilipili ya embe: Hii ni pilipili nzuri sana unaweza kula na vitu vingi nyama choma, chipsi, pilau, ndizi choma nk. ➡️Nimeweka -embe 1 bichi dodo kubwa, -pilipili mbuzi nyingi, -kitunguuu saumu 1, -tangawizi kiasi,-Chumvi kijiko 1 kidogo-majani ya rosemary kidogo-na curry powder kidogo. ➡️Nimemenya embe na kuli katakata, nikamenya saumu,tangawizi, nikakatakata pilipili kisha nikaweka kilaContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA PILIPILI YA EMBE”

Design a site like this with WordPress.com
Get started