JINSI YA KUTUNZA MIKO YA KUPIKIA

Mwiko ni kitu kidogo sana jikoni lakini ni kifaa muhimu sana katika mapishi. Katika mapishi yote unayopika mwiko lazima utumike , ila mara nyingi wengi huwa hatuoni umuhimu wa miko sababu tu ya udogo wake. Ila tuko busy  kutunza vyombo vingine  ila miko tunasahau. Hivyo pia ni lazima kuzingatia usafi na utunzaji wake; 1.Osha mwikoContinue reading “JINSI YA KUTUNZA MIKO YA KUPIKIA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started