JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA KARANGA

➡️Kashata za karanga, hizi ni simple kupika na nzuri sana kunywea kahawa mida ya jioni jioni. ➡️Hapa nimetumia vitu viwili 2 kupika hizi kashata, karanga na sukari. Karanga zilikuwa zimesha kaangwa na kutolewa maganda, kama robo kl na sukari nayo kama robo. ➡️Niliweka friying pan jikoni, ilipo pata moto nikaweka sukari nikaacha hadi iyeyuke kabisaContinue reading “JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA KARANGA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started