YELLOW RICE RECIPE [jinsi ya kupika wali manjano]

Wali manjano ni mtamu sana na rahisi kupika, mi napenda sana kuupika hasa pale napokuwa nimechoka kula wali mweupe, na hapa nashare recipe yake mjifunze. Mahitaji mchele kilo 1 tui la nazi zito kikombe kimoja tui jepesi lita 1 kitunguu saumu kilicho sagwa vijiko 2 vikubwa njegere zilizo chemshwa kikombe 1 kidogo curry powder vijikoContinue reading “YELLOW RICE RECIPE [jinsi ya kupika wali manjano]”

Design a site like this with WordPress.com
Get started