Jumamosi my girls walikuwa busy kupractice recipe Kwa ajili ya #christmasbiscuits, wanajua kutengeneza biscuits na #cookies, Ila walikuwa hawajawahi tengeneza special Kwa, hope wakisha practise Mara ya 2 na 3 ikifika #xmas wata bake best biscuits. Hii ndio recipe yao;Christmas #biscuits #recipeMahitaji;-Ngano- robo kilo (250 gram)-Sukari- vijiko 5 vya kulia chakula-Siagi- vijiko 3 vya kuliaContinue reading “CHRISTMAS BISCUIT RECIPE”