Hichi kinywaji ni kizuri sana, home red wine fruit sangria, pia ni simple kutengeneza. Mi sio mpenzi sn wa #alchoholicdrinks, Ila huwa na kunywa Mara chache vinywaji venye alcohol, lakini vinakuwa mix na fresh juice, fruits au soda. Kama ulikuwa unafikiria kinywaji gani utengeneze ku enjoy nyumbani, tengeneza hii red sangria. red sangria recipe MahitajiChupaContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA RED SANGRIA”