➡️Nyama Choma Nyumbani: Nyama choma huwa tamu sana, na ina raha yake kuandaa mwenyewe nyumbani na kujaumuika pamoja na wale uwapendao. Mle, mnywe na kufurahi pamoja iwe weekend, sikukuu, wakati mnaangalia mechi za mpira nk .➡️Wengi najua mna tamani kuandaa nyama choma, ila mna kosa uthubutu muanzie wapi. Najua hilo sababu napata DM wengi wanahitajiContinue reading “JINSI YA KUANDAA NYAMA CHOMA NYUMBANI:pata dondoo tano muhimu”