➡️Hope mko poa, leo napenda kushare recipe ya wali wa nazi. MahitajiMchele kikombe klTui zito kikombe vikombe 2Tui jepesi kikombe lt 1Chumvi kijiko cha chaib1Punje 10 za kitunguu saumu (zisage) na mafuta vijiko 2 vikubwa. 🍚 Jinsi ya kupika 👇🏿nimeosha mchele Kisha nikaweka pembeni uchuje maji. Nikawasha rice cooker, nikatia mafuta, kisha nikasaga vitunguu nikwekaContinue reading “WALI WA NAZI”