JINSI YA KUPIKA PIZZA YA NYAMA YA KUSAGA

Jana jumamosi nilipika pizza ya nyama ya kusaga, my girls wanapenda sana pizza huwa napenda kuwapikia pizza za viti tofauti tofauti (kuku, sausage, ntama kusaga)nk. Hapa nashare recipe ya pizza ya nyama ya kusaga. Mahitaji Tomato paste(nyanya ya pakti) pakti 1, -nyanya 2, -hoho 1, -nyama ya kusaga (kibakuli 1 kidogo) iwe ime chemshwa-karoti 1Continue reading “JINSI YA KUPIKA PIZZA YA NYAMA YA KUSAGA”

Design a site like this with WordPress.com
Get started