JINSI YA KUPIKA MBOGA YA BAMIA NA NYANYA CHUNGU

➡️➡️Mboga ya bamia na nyanya chungu. Hii nilipika jana mchana kwa lunch. ➡️Mimi napenda mboga za majani karibu zote tu. Hasa kula na ugali, na nyama choma.😍😍. Hapa nilitumia zile nyanya chungu original (zile nyanya chungu halisi kabisa ndogo ndogo zenye uchungu wake) sio zile nyeupe tamu..So kuepuka mboga yote kuwa na uchungu uchungu, hiziContinue reading “JINSI YA KUPIKA MBOGA YA BAMIA NA NYANYA CHUNGU”

Design a site like this with WordPress.com
Get started