JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA 2PASSION NA KAROTI

➡️Karibuni, juice ya passion na karoti. Hii nime tengeneza jana, kwa ajili ya my girls wamekunywa baada ya kutoka shule. ➡️Baada ya kuosha karoti na mapassion, nikakata kata karoti na kuweka ktk blender, nika weka pia na passion. Nika weka na maji glass 3 kwenye blender, kisha nika blend hadi ilipokuwa tayari. Nikachuja na kuwekaContinue reading “JINSI YA KUTENGENEZA JUICE YA 2PASSION NA KAROTI”

Design a site like this with WordPress.com
Get started