➡️Vinywaji Nyumbani : kuna fan wangu wa #malkiawajiko nilikuwa nachat naye . Alikuwa ana hitaji kujua juice nzuri unazo weza tengeneza nyumbani kwa urahisi bila kutumia blender. Na-share hapa kwa faida ya wengi. ➡️Hapa kuna juice aina 3, rosella juice, ubuyu juice na ukwaju juice. Hizi zote ni juice nzuri sana, rahisi kutengeneza na zinaContinue reading “VINYWAJI LAINI NYUMBANI (jinsi ya kutengeneza juisi ya rosella, juisi ya ubuyu na juisi ya ukwaju)”