JINSI YA KUANDAA MISHIKAKI YA NGO’MBE [ ORANGE RED MISHIKAKI]

️Mishikaki ya Ngo’mbe (orange red mishikaki ): hii niliandaa kwa ajili ya kusherekea mwaka mpya. Ilikuwa mitamu sana, viungo vilikolea vizuri na nilimetumia steak, ambayo haikuwa na mafuta mengi. ➡️Nilitumia orange red powder kwa ajili ya kuipa mishikaki hiyo rangi mnayo iona, pia viungo niliweka vichache tu tangawizi, kitunguuu saumu na limao. . ➡️Baada yaContinue reading “JINSI YA KUANDAA MISHIKAKI YA NGO’MBE [ ORANGE RED MISHIKAKI]”

Design a site like this with WordPress.com
Get started