1. Ratiba ya chakula au mapishi, ni kitendea kazi muhimu kuwa nacho nyumbani kwako, sababu huwezi kupanga kupika bila kujua unataka upike nini? 2.Hivyo basi ukiwa na ratiba ya chakula inakusaidia usipoteze muda kuwaza na kuumiza kichwa upike nini? Maana tayari unayo ratiba ya chakula. 3.Itakusaidia kufanya manunuzi ya vyakula kirahisi, unaangalia ratiba itakuonyesha niniContinue reading “SABABU 5 KWANINI UWE NA RATIBA YA CHAKULA /MAPISHI [iliyo andaliwa na malkia wa jiko]”