JINSI YA KUWEKA VIUNGO KWENYE SAMAKI (fish marination)

➡️Muulize Malkia wa Jiko: “MJ naomba nielekeze jinsi ya kuweka viungo kwenye samaki “-Kama mjuavyo huwa napata maswali mengi na huwa najibu kutokana na nafasi yangu. Kama hili nimeona nishare hapa kwa faida ya wengi. ➡️Hapa nitaongelea jinsi ya kuweka viungo kwenye samaki awe wa maji chumvi au baridi. Ila ambaye atapikwa kwa njia yaContinue reading “JINSI YA KUWEKA VIUNGO KWENYE SAMAKI (fish marination)”

Design a site like this with WordPress.com
Get started