– Leo napenda nikupe ujanja kidogo, kama Bado hujawa konkii master kwenye kuchoma mishikaki. Nakuelekeza njia simple kabisa na mishikaki itatoka vizuri sana;-ikiwa imeiva hadi ndani,-Imekolea viungo,-taste nzuri,-laini-imeiva bila kuungua Kama unafatilia post zangu utagundua nyama Choma ni kitu ninacho kipenda. Na jumamosi niliandaa mishikaki kwa ajili ya lunch.Maana kwangu weekend napenda iwe ni #foodfamilyfunContinue reading “JINSI YA KUCHOMA MISHIKAKI YA NG’OMBE (FOR BEGGINERS)”