Chicken Stew (kuku wa mchuzi): huyu ni mtamu sana na uzuri anaweza kuliwa na vitu vingi na uka enjoy mlo wako. Iwe ugali, wali, pilau, ndizi za kupika, chapati na chochote utakacho penda..Upishi wake ni rahisi sana, viungo vya wastani. Hapa nita elekeza jinsi ya kumpika vizuri, na utatamani uwe unapika na kula kila siku.Continue reading “JINSI YA KUPIKA KUKU WA MCHUZI (#CHICKENSTEW)”