JINSI YA KUPIKA PILAU YA NYAMA YA NG’OMBE (#beefpulao)

-Pilau ni menu mojawapo pendwa nyumbani, kwangu. Huwa napenda kupika hasa weekend, sikukuu au nikipata wageni wapenda pilau. Kulipika ni simple sio pishi complicated kama wengi wanavyo dhani, ukipika mara kwa mara utalimudu. -Hapa nitakupa recipe yangu ya #pilaung’ombe, super simple kama unahitaji kujifunza ni bidii yk tu kufanya mazoezi ya kupika.-Mahitaji.mchele kilo 1.nyama 750Continue reading “JINSI YA KUPIKA PILAU YA NYAMA YA NG’OMBE (#beefpulao)”

Design a site like this with WordPress.com
Get started