RECIPE YA NYAMA YA NGO’MBE ILIYO WEKWA MCHAICHAI

-Je unajua mchaichai ni kiungo kizuri kwa nyama?!Leo napenda ni share recipe nzuri sana na amazing, itakayo kuongeza ujuzi ktk mapishi ya nyama. Mchaichai kwenye nyama unaleta ladha nzuri sana, na nyama inanukia vizuri sana. Yani ukiweka kwenye nyama hadi hamu ya kula inaongezeka, na hata ule nyama nyingi huwezi kukinai. -Mi nimetumia nyama yaContinue reading “RECIPE YA NYAMA YA NGO’MBE ILIYO WEKWA MCHAICHAI”

Design a site like this with WordPress.com
Get started