-Baada ya nyama kitu kingine nacho kipenda ni samaki, awe maji baridi au chumvi. Apikwe vyovyote vile mi nakula.❤️ -Hapa niliandaa vipande vya sangara . Baada ya kuosha vipande vya sangara i ni kakata vipande vidogo dogo, Kisha nikaacha vichuje maji. Baada ya hapo, nikaanza kuweka viungo kama unavyo ona kwenye picha ;-nimeweka curry powderContinue reading “JINSI YA KUKAANGA VIPANDE VYA SANGARA”