Kitchen tipπ€: Ok, leo ngoja niwape dondoo moja, kuhusu sponge za jikoni tunazo tumia kuoshea vyombo. Sponge zinatakiwa zitunzwe ktk mazingira mazuri ili zisibebe bacteria ambao wanaweza kuhatarisha afya zetu. ππΏππΏ sponge baada ya kuitumia, ioshe ikamue ichuje maji na ianike juani au weka mahali pakavu ikauke kabla ya kuitumia tena.β usihifadhi sponge chini yaContinue reading “Kitchen sponge”